Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
JF bwana kama unashindwa kucontrol hasira utakuwa unaambulia Ban kila Mara maana watu walivyo na majibu ya kuudhi/dharau/ya mkato bila kusahau kushushuana duh balaa,mi huwa nayafananisha na matusi.Mfano unakuta umejipindaa kuandika thread ndefu or comment or umeejieleza matatizo yako unahitaji ushauri but majibu unayoambulia "Shule inafunguliwa lini?"/ "Wenzako was hand a should" /"Rudi Fesibuku kwa watoto wenzako" / "Weka picha",etc.Hayo ni kati ya 'matusi' niliyowahi kukumbana nayo humu yanauma kwelikweli.Vipi wewe matusi gani umewahi kukumbana nayo humu or umeyaona kwa wengine ambayo yanakera?