Mwanajf gani aliyekukera humu jf mwaka huu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanajf gani aliyekukera humu jf mwaka huu??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kaeso, Dec 19, 2011.

 1. k

  kaeso JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  siku zinazidi kuyoyoma na mwaka ndio huo unamalizika. Kwa kifupi hapa kwa kuwa tunakutana watu wenye mawazo na uelewa tofauti, kuna watu ambao huwa wanatukera kwa namna moja au nyingine. Mimi walionikera ni hawa......
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,796
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Duh..!
   
 3. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,741
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Mbona husemi waliokukera wewe, badala yake unauliza waliotukera sisi tu?
   
 4. Amwit52

  Amwit52 Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi wanaonikera ni wale wote ambao badala ya kumkaribisha mgeni vizuri wao wanaanza kumfanisha na wenyeji. Mara utasikia oooh sijui hii ni ID yako ya ngapi? Mara sijui ile nyingine imepigwa ban? Ina maana hamtaki wageni humu ndani? Hao tu ndio wanaonikera.
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Yaani key board inakukera. Soma achana nae maana hata humjui huyo member.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  duh, mi ananikera sana anayenikera.
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 766
  Trophy Points: 280
  wewe kwa kufanya watu waanze kutafuta makosa ya watu badala ya uzuri wa watu
   
 8. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Kongosho umetoroka kwenye mkesha wa TF
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  mchungaji kapoteza sauti, eti sasa hivi anaombea kwa kupapasa

  yakanishinda
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,240
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Amakweli asili haipotei...nyie kila mahali mnachakachua tu! Hebu oneni, tayari mmeshaharibu maana ya hili lisredi!
   
 11. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #11
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,292
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  If you think I'm against what you believe...NIPOTEZEE!!!!
   
 12. k

  kaeso JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanaochakachua thread.
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Duh kweli amepoteza maadili
  Ila ana zawadi leo anatoa zawadi kwa waumini. Unaweza shangaa vogue ya Bishanga unaipata wewe
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Rejao wewe mwenyewe umechakachua
  Usingetujibu maana na wewe umechakachua tayari
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,229
  Likes Received: 4,020
  Trophy Points: 280
  Inkoskaz acha kukimbia huchoki kukimbia? salama lakini...
   
 16. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #16
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,025
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  ni kweli namchukia tena sana huyo nliye mtaja hapo juu. ova
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,139
  Likes Received: 4,063
  Trophy Points: 280
  kukera ndo nini.
   
 18. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #18
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,309
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  habari zenyu jf. nawatakia siku njema yenye furaha. Mia
   
 19. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #19
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Walionikera ni kama wewe unaeshindwa kutaja waliokukera taja kwanza wakwako
   
 20. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #20
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,889
  Likes Received: 19,447
  Trophy Points: 280
  Wanaonikera ni wote wale ambao wanaacha kazi zao muda wa kazi na kuingia JF hao ni wizi wa muda wa kazi na wizi wa mali ya sehemu wanayofanyia kazi. Kuiba ni kuiba iwe muda, ma Gb's mnayoyatumia bure.

  Halafu wao ndio wa kwanza kujidai fulani fisadi, fulani fisadi, wakati wao ni mafisadi wa kwanza kuhujumu mali za sehemu zao za kazi.

  Ikiwa unaiba masaa mawili ya kazini kila siku kwa kuingia JF ina maana umeshaiba zaidi ya masaa 40 kwa mwezi, hizo ni fedha ngapi kwa mwaka? Mbali ya ma gb uliyotumia. Halafu mnalalamika mishahara haipandi.
   
Loading...