donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Imekua longtime sana miss chagga, leo nataka uvae upendeze tutoke tukale bata popote utakapo na wala usiogope mtu yoyote humu chit chat. Si unajua wengi maneno matupu tu? But yo hubby donlucchese hua siongei saaana. Usijali hata ukiwekwa kikao mamaa,i' always have your back. Get ready, here i come


Last edited by a moderator: