JF Technical Team nawanyoshea mikono1

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,344
14,020
Nawapa pongezi Invisible, Farida, Maxence na wengineo ambao wanaiwezesha JF kua hewani!
hapa ofisini kwetu amekuja Network Administrator mpya ni mnoko ili mbaya, ame block Domain kibao zikiwemo
1. Social Networking, eg Facebook, Twitter
2.Pornography, Nudity, Adult Themes
3.P2P/File sharing
4.On Board Message forum na nyingine nyingi

Lakini ameshindwa kabisa kui Block hii na anajaribu kila mara lakini anachemka..
ama kweli Invisible nakunyoshea mikono we ni mkalii
 
hivi haya mambo bado yapo huyo IT ni noma kweli hadi P2P anablock sasa mkitaka share large files mnafanyaje.anya way hajawaua sana kwa simu ipo na hio social net zinafunguka kirahisi tu
 
Hata hivyo huyo Admn wa system yenu hayuko vizuri. Angeweza ku block hata hii JF kama angekuwa mtaalamu.
 
Nawapa pongezi Invisible, Farida, Maxence na wengineo ambao wanaiwezesha JF kua hewani!
hapa ofisini kwetu amekuja Network Administrator mpya ni mnoko ili mbaya, ame block Domain kibao zikiwemo
1. Social Networking, eg Facebook, Twitter
2.Pornography, Nudity, Adult Themes
3.P2P/File sharing
4.On Board Message forum na nyingine nyingi

Lakini ameshindwa kabisa kui Block hii na anajaribu kila mara lakini anachemka..
ama kweli Invisible nakunyoshea mikono we ni mkalii

Dahh, Samahani sana lakini hii "confession" yako imeniuma sana, na kama mimi ndio boss wako, hauna kazi immediately na nafatilia on line records zako zote na unazilipa ama nnakufunga kwa wizi wa kuaminiwa na uhujumu uchumi.

Nakusikitikia sana kuwa ni mmoja katika wizi wa ofisini kwenu, unaiba mitandao ya kazini na muda wa kazini, halafu watu kama wewe ndio huwa wa mwanzo kuwashutumu watu kwa ufisadi, wakati wewe mwenyewe ni fisadi mkubwa sana.

Halafu tunalalamika kwanini Tanzani ni maskini wakati tuna watu kama wewe ambao wanaiba bila aibu kabisa halafu zikichukuliwa "measures" za kuwazuia wizi wenu mnalalamika. Halafu bado una moyo wa kuingia JF na kujisifia kwa wizi?
 
Kweli. Atakuwa ni Trainee Network Administrator na amesomea vyuo vya Kariakoo.

AU kama ni mtaalamu, basi na yeye ni JF member, ndiyo maana akaiacha. Otherwise angeiblock siku nyingi. Vinginevyo ni trainee kama ilivyoandikwa hapo juu
 
Nawapa pongezi Invisible, Farida, Maxence na wengineo ambao wanaiwezesha JF kua hewani!
hapa ofisini kwetu amekuja Network Administrator mpya ni mnoko ili mbaya, ame block Domain kibao zikiwemo
1. Social Networking, eg Facebook, Twitter
2.Pornography, Nudity, Adult Themes
3.P2P/File sharing
4.On Board Message forum na nyingine nyingi

Lakini ameshindwa kabisa kui Block hii na anajaribu kila mara lakini anachemka..
ama kweli Invisible nakunyoshea mikono we ni mkalii

Hajashindwa kui block jamiiforums, ila hajataka, haijui, anaipenda au amesahau kuiandika pamoja na hizo alizo ziblock. Website blocking is very simple task for System Administrator, but you can block in your office net sever only.
 
Mimi mbona nimei block JF kwenye ka-computer kangu ka mapajani mtu mwingine asifungue zaidi yangu....
Huyo IT wenu alabda alichogundua ni kuwa watumiaji wa JF hapo kwenu si wengi, au ameona umuhimu wa JF.
 
Basi huyo IT ni kilaza, mi nimeblock hadi ka mchina kangu katika upande wa JF ili asiwepo mtu mwingine wa kuakisesi zaidi yangu.
 
Mngeanza na kublock njia wanazotumia majangili kupitishia pembe za ndovu na faru ndiyo ningejua kweli mnapambana na wahujumu uchumi.

CC: Wote wenye vijicho na JF
 
Back
Top Bottom