Ben Mugashe
JF-Expert Member
- Oct 9, 2008
- 999
- 618
Tamko kutoka Chama cha Maboifrend Tanzania (CHAMATA)
Wapenzi wetu, wake zetu, nyumba ndogo zetu, samsing zetu, dogodogo zetu, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu kama vile;
Uchaguzi wa Madiwani katika kata 27
Moto uliotokea mara kadhaa katika masoko ya Mbeya
Majukumu ya mambo ya shule mwezi January
Vipigo visivyoisha vya Manchester United
Ukijumlisha na kipigo kibaya cha Arsenal dhidi ya Liverpool wiki iliyopita
Kuhamishwa wa viongozi wa polisi karibuni
Mtafaruku wa Zitto Kabwe na CHADEMA
Vita vya Sudan Kusini
Kuongezeka kwa rushwa
Ujangili wa meno ya tembo
Kukamatwa kwa shehena kubwa ya madawa ya kulevya
uteuzi wa Bunge la Katiba
kuongezeka kwa gharama za umeme
Tungependa kutoa taarifa mapema kwamba hatutashiriki wala kuwepo katika sherehe za Valentine mwaka huu.
Nchi yetu inahitaji kufunga na maombi wakati huu, na sisi, kama sehemu ya Taifa letu tumeamua kuwa katika mfungo wa kuombea nchi yetu kuanzia tarehe 12 hadi 16 February mwaka huu. Tunashauri na nyinyi mchukue muda huo mwafaka, kusherehekea Valentine na wazazi wenu kwani nao ni sehemu ya mapenzi ya Valentine.
Tunategemea kukutana nanyi tena tarehe 17 na tunashukuru kwa ushirikiano ambao tuna uhakika mtauonyesha katika kipindi hiki kigumu cha kuliombea taifa letu Tanzania
MWENYEKITI TAIFA
CHAMATA
Copy to #TeamBazazi