duh mbona negative comments ni nyingi kuliko positive, I real luv this man ila yeye plan yake ni tuishi Rwanda as anamaliza contract yake ya kazi next year, sasa Rwanda ndio kabisa kunazidi nitisha
Kwani unaolewa nao wangapi mpaka unataka tabia zao kwa ujumla hujui kila mtu na tabia yake hata kama ni kabila moja? kwani huyo uliye naye ana tabia gani maana naye ni mnyarwanda kama unahitaji kujua tabia zao anza na huyo uliye naye atakuwa anawafahamu vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.