Watani wa jadi

Watani wa jadi

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,483
wakuu, hivi ni kabila gani tz ni washamba, tukisema wale top 10.

1. wasukuma

2. wamasai

3. wahaya

4. warombo

5..........endeleza hapo
 
we ni kabila gani kwanza?tuanzie hapo maanake hapa naona kama tunafuta kukwazana hasa ukizingatia hili si jukwaa la matani.
 
Hata wewe ukitoka huko mjini ukaenda umasaini utaonekana mshamba kwani hautaweza kuelewa ustaarabu wao.

Inategemea, msukuma akija mjini ataonekana mshamba kwani hajawahi kuishi mazingira hayo, wewe pia ukienda kwenye maeneo yao utaonekana tu.

Kwa mfano wakikuona umetahiri hata mademu hautapata kwani wewe ni mshamba.
 
we ni kabila gani kwanza?tuanzie hapo maanake hapa naona kama tunafuta kukwazana hasa ukizingatia hili si jukwaa la matani.
mimi Mzaramo. wasukuma na wamasai ni watani zangu wa jadi.najivunia uzaramu wangu, sio mtu wa kuja mimi, sijatoka bara kuja kuona bahari bongo.
 
sawa mkuu hongera.
mimi Mzaramo. wasukuma na wamasai ni watani zangu wa jadi.najivunia uzaramu wangu, sio mtu wa kuja mimi, sijatoka bara kuja kuona bahari bongo.
 
mimi Mzaramo. wasukuma na
wamasai ni watani zangu wa jadi.najivunia uzaramu wangu, sio mtu wa kuja
mimi, sijatoka bara kuja kuona bahari bongo.

kwahyo huo umjini wako na bahari vimekusaidia nini mpaka sasa hv?
 
kwahyo huo umjini wako na bahari vimekusaidia nini mpaka sasa hv?
sijazaliwa nikinuka ng'ombe na kuongea lugha kama naporomosha mawe mimi. lugha yangu imenyooka sio kama ya masanja.
 
mimi Mzaramo. wasukuma na wamasai ni watani zangu wa jadi.najivunia uzaramu wangu, sio mtu wa kuja mimi, sijatoka bara kuja kuona bahari bongo.

Ahaa kumbe wewe ndo muuza mabushaeee!!!!
 
mimi Mzaramo. wasukuma na wamasai ni watani zangu wa jadi.najivunia uzaramu wangu, sio mtu wa kuja mimi, sijatoka bara kuja kuona bahari bongo.

iwe kumbe ndo mana unagamba upumbavu.eti wahaya washamba......unadhani idd amin angeitaka dar nyerere angepigana? bila wahaya wewe huli wala huvai..ogu mwana guligufwera
 
mshamba kwa uswahili, ni mtu ambae hajui kitu fulani, tena akielekezwa na mtu ambae kichwani ni mcharuko, hali huwa mbaya zaidi!

kwa hiyo naamini kila mtu ana ushamba kwa nafasi fulani na mazingira atakayokuwepo!
 
mimi Mzaramo. wasukuma na wamasai ni watani zangu wa jadi.najivunia uzaramu wangu, sio mtu wa kuja mimi, sijatoka bara kuja kuona bahari bongo.

Unyelile Nkoi! Bahari ingekuwa dili ungeish baharin tujue moja, unazan msukuma anakuja Dar kuona bahari?
 
iwe kumbe ndo mana unagamba upumbavu.eti wahaya washamba......unadhani idd amin angeitaka dar nyerere angepigana? bila wahaya wewe huli wala huvai..ogu mwana guligufwera
haaa Nshomire acha masifa, wahaya ni moja wapo wa watu ambao bila wao hapa tz hakiwezi kuharibika kitu. kwanza siku hizi hamsomi kama zamani, mmezidiwa hata na wazaramu, isipokuwa nawasifia kwa promo kujitangaza ndio maana mnaonekana kama mko juu kumbe sifuri. kama hauamini nisemayo, tembelea kile kijiji cha KATERERO na uhudhurie lile gulio la katerero utakutana na wahaya wanaohitaji msaada kwasababu maji mnayo lakini hamuogi.
 
Mti wenye matunda ----- kila mmoja ataona wahaya washamba ila cyo hvo nikwa sababu yamafanikio yao,mlibafera imwe banyamahanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom