naona miji yote mikubwa kuna mawing, Dar, Arusha, Mwanza na Tanga. watu wa mbeya vipi? au mko bize sana?
Tupo jamani ila sijaona wakitaja mbeya wingi
Tupo sana watu wa mbeya na tunaendelea na ujenzi wa nchi
Here we go.. Green city lazima tuwe na a very strong wing especially kwa wale mlioko Mbeya, kwa sisi wa diaspora tutakuwa tuna support morally and materially... Pamoja sana
wale wa Uyole...Iyunga na mwanjelwa
wale wa Uyole...Iyunga na mwanjelwa
tupo wengi tu mkuu
Inabidi tutafute namna ya kukutana. Haiwezekani tunaishi kimya kimya hivi! Cc idawa
Tupo sana watu wa mbeya na tunaendelea na ujenzi wa nchi
Kwangu mimi hakuna shaka na tupo wengi but hatutaki kujionyesha onyesha
Mwanyasi, the green wing litakuwa jina zuri sana!
Mimi nadhani Wing ianze na ninyi,
pm zitumike kupanga mahali pa kukutana
Wala siaki kuwasemea, lakini maeneo ya kuelekea Ifisi yametulia!
Tupo! jamani.
hahaaa inabidi usem Jana na leo