JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Dah nimekumbuka mbali kidogo aisee sijui miaka ya ngapi ile !! Kulikuwa na maflana yenye picha za wanamuziki wa kikongo kama BONGOMANI,BOZIBOZIANA,AWILO ,nilikuwa na la Bongomani aisee nilikuwa...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana wote wa Chitchat.... Nipo huku Idodomya tukiibomoa katiba ya zamani na kujenga katiba mpya kwa ajili ya Wadanganyika... Mwenzenu kilichonileta huku ni posho maana sina hata...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
jamaa mmoja alipanda daladala akawa anatembea tembea ndan ya daladala konda akamuuliza mbona hukai kwenye kiti unatembeatembea yule jamaa akajibu sina nauli ndo maana natembea tembeaaa
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Demu mkaliiii alikaa na mzee kwenye daladala siti ya nyuma, mzee kavaa viatu vinatema kishenzi demu kashindwa kuvumilia na kuropoka, "wee mzee ni VIATU vyako vinanuka au?" Mzee akamjibu akasema...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Toka mwanzo wa ulimwengu,waliumbwa wawili,mke na mme Bantu lady na Sungura 1980! Hivyo kilichounganishwa,,mwanadamu hasikitenganishe!Nafurahi kuwa na wewe malkia wangu Bantu lady,asante kwa...
1 Reactions
116 Replies
10K Views
Mwalimu mmoja alikuwa anafundisha akaenda kukalia dawati chati mbaya akadondoka chali. Faraja akanza kucheka Mwalimu "Faraja unacheka nini?" Faraja "mwalimu nimeona shanga zinacheza cheza"...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawapa pongezi yanga na mashabiki wake wooote!!!,Ni nani kama yanga? kila siku yawa furahisha mashabiki wake.Wengine poleeeni!!,Every body say HURRAAAH!!! LONG LIFE TO YANGA!!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nina modem yawhuawei E303 tatizo lake iko very slow kwenye window7 solution ni nini?
0 Reactions
1 Replies
790 Views
Hivi huu mji una wana Jf kweli? Haya, if yes ntakuwepo for some days.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
The words mentioned above si maneno yangu . Yanatokana na nukuu nilizozidaka somewhere . Kwamba anaeota ndoto ya kujamiiana ni female , but wakati anaota hujiota yeye as a male . As soon...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Habar wana JF, sikieni hii Jamaa mmoja alikuwa na demu wake mpya ila siku hiyo alikuwa amemuacha nyumbani. Walipowasiliana kwa simu, mazungumzo yao yalikuwa hivi; Binti: Hello mpenzi, mambo...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Dada mmoja aliibiwa mkoba wake ambao ndani yake kulikuwa na simu, kadi ya benki, wallet yenye hela pamoja na info zake kibao. Dada yule kwa kuwa aliibiwa akiwa anaangia kwenye daladala na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani mie ni Blogger mwenye umri mdogo tu niko chuo kwa sasa nina miaka 19 na blog yangu inaitwa BLOG YA VIJANA kwa sasa ninaendelea vizuri japo sio sana...nashkurur kwa hilo na nimeandika hili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau,kwa wale ambao ni watumiaji wa vinywaji jamii ya bia,hivi ni kweli aina hiyo ya bia inapunguza nguvu za kiume?maana nimekuwa nikisikia sana,wababa watumiao hii hawawezi kazi na kila nikaapo...
1 Reactions
71 Replies
8K Views
Haya mambo bhana yanakua ya ajabu sana unakuta umepakia hice umekaa kwenye gar labda unachat unakuta mtu anatumbua mimacho kwenye simu yako anasoma sms kama si umbea ni nini
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani Utotoni kuna vituko..mpaka unakua ni mambo mengi na vituko vingi tumepitia,mojawapo ni majina tuliyokuwa tunatungiana kwa jinsi mtu alivyo au kwa kituko alicho fanya na majina mengine hadi...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
On our last argument with my girlfriend,I told her,"ur. next boyfriend will appreciate the improvement I made in you"
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndani ya meli,watu makabila tofauti walikua na mizigo,meli ilizidiwa ilibidi mizigo ipunguzwe,Mzungu akatupa computer, akasema"kwe2 zpo tele,Mchina akatupa box la cmu akasema"kwetu zipo tele"...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwangaruka bosa!!! Leo tuzungumze kidogo kitu au kiungo kidogo sana kwenye miili yetu kwani hichi kiungo kimekuwa ni figa muhimu kwa mwanadamu na tena kimekuwa cha haraka kuweza kutambua kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna wizi umetokea benki, Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu". Wote wakalala chini-HII INAITWA DHANA YA USHAWISHI - kubadilisha njia ya kawaida ya kufikiria...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Back
Top Bottom