asubuhi ikiharibika basi siku nzima inachacha ni kweli

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,527
Reaction score
3,345
Baadh ya watu wanasema nyotanjema huonekana asubuh kweli asubuh imeshikilia cku nzima na wanasema ukianza kugombana asubuhi ckunzima inaweza kua hvyo
hata kwenye maduka wanasema mtuwa kwanza akianza kukopa basi biashara sikuhio itaenda ki mkopo mkopo je ukwel 2juzane
 
hizo ni imani tu. cha msingi pambana hadi dakika ya mwisho wa siku. mafanikio hutokea wakati wowote
 
Ushirikina Primary School .
Office hours from 8 am - 3 pm .
Monday- Friday.
All are welcome .
 
Ngoja tufanye kauchunguzi kadogo tu hebu jaribu kumpiga kakofi umpendaye harafu uangalie itakuwaje mpaka Joni,.
 
Back
Top Bottom