Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,111
1. Bepari la kihaya, uncle Bishanga aliwa range rover yake kwenye kubeti, alibeti brazil wanashinda 3:0
2. Yafahamika Erickb52 ni mtoto wa Scolari, aelezea yaliyomkuta alipoenda kuomba ada ya shule shs 700,000/= leo asubuhi.
3. Ndoa ya mbrazil aitwaye Rejao iko matatani, ni baada ya mkewe Cantalisia kujifungua mtoto wa kiume na kumpa jina "MUller"
4. Mzee mzima Baba V, aanza kampeni upya kampeni zake za uraisi wa timu ya mtaani kwao iitwayo Kufakunoga fc., atangaza kuomba friendly match na Brazil
5. mtaalamu wa Lugha ya kizungu, msukuma Nyani Ngabu awasaidia wazungu kujua msamiati mpya wa kiswahili uitwao "majanga" na kuwaambia maana yake kwa kizungu inaitwa "brazil"
6. Nicas Mtei, yule mchaga msaka pesa, aongoza vilio vya wachaga wenzake kusikitikia kipigo hicho maana kimewaharibia mauzo ya jezi.
7. Arushaone, apewa kazi ya kumpa matokeo Neymar nyumbani kwake, anaomba maombi yenu

Last edited by a moderator: