Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,460
Habari ndiyo hiyo,
Threads zingine zikianzishwa humu ni kama vistori vya utani vileee....!! Unaweza hata usicomment kwa kuona ni utunzi wa mtu tuu.
Kuna mdau (simkumbuki ni nani) alianzisha uzi humu juu ya watu kubanjuana kwenye vyoo vya maofisi na akalalamika kuwa wanasababisha wengine kuteseka kwa kubanwa na haja muda mrefu, yamenikuta live.
Jana nilikuwa busy sana na kazi iliyonileta hapa jijini kwenu Daslama ili niweze kuimaliza siku hiyo hiyo ya jana nipate na wasaa wa kufanya yangu siku hii iliyofuata. So, niliwaomba wenyeji wangu (wenye ofisi) tubaki mpaka tuimalize kazi hata kama ni usiku mzito tutaelewana tuu, nashukuru walikubali kwa moyo mweupee!!
Wakati kazi ikiendelea around saa kumi na mbili jioni nilibanwa na haja, kufikwa kwa toilet nakuta pako locked! Nikarudi na kuwaambia jamaa choo chenu kimefungwa, wakahamaki lakini ikatokea hoja kwamba kuna mzigo utakuwa unaliwa huko maana huwa havifungwi na jioni hii flat hii hakuna mtu!! Mwisho wa siku ikaamuliwa uwekwe mtego (kuhakiki kama ni kweli) hasa baada ya wenyewe pia kuhakiki kuwa pamefungwa.
Baada ya kama dakika 20 hivi alitoka mmama mtu mzima na heshima zake huyooo kwa kasi akashuka ngazi kaingia kwa gari yake ndukii.....!!! Baada ya kama dakika tatu hivi akatoka mchizi anajirekebisha suruali na shati wala hana wasi wasi akachungulia chini akaangaza huku na huko huyoo nae akajiondokea taratiiibu. Wote wanafanya kazi katika ofisi zilizopo katika jengo hili hili na wanafahamika vizuri sana na wenyeji wangu hapa
Daaah!! Yule mama ndiye aliyenisikitisha, maana hata wenyeji wangu nao walibaki na butwaa kuu coz ni mama mwenye familia inayojiheshimu na yeye pia anajiheshimu, ni mtu mzima sana na watoto wake huwa wanakuja hapa mara kwa mara ni wadada wakubwa tuu ambao ni rika la kijana aliyekuwa nae chooni.
Huyu kijana simzungumzii sana kwa sababu ni msela tu, wenyewe wanadai ni mlevi na ana mambo ya ujana mengi!! Ishu ni status ya huyu mama
Hatari sana, akifika home atadai nilibanwa na kazi mingi mingi doooh!! Imeniuma sana, nilitamani nimfuate yule mama nimwambie nimekuona ulichikifanya nione angeniangalia vipi usoni
Gesti zipo kibao jamani, haya mambo mengine ni kujiabisha tuu