Kwa wapenda wine, naomba majibu hapa;

Kwa wapenda wine, naomba majibu hapa;

ngomicom

Senior Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
123
Reaction score
19
Wana JF wenzangu, nimekuta mjadala mkubwa juu ya uzuri wa kinywaji cha WINE ukilinganisha na beer zingine zinaziopatikana bongo hususani za ndani, hapa sikusudii kufanya matangazo ya biashara kwa vinywaji ila naomba ukweli na uzoefu ili nisijikute kilaza.

1. WINE aina gani ni nzuri kwa wasio wanywaji wazuri?
2. WINE ipi inafaa itumike na wakongwe yaani sio Learner?
3. Ukiangalia kiwango cha Alcohol kilichopo kwenye Wine nyingi ni kukubwa kuliko hata cha Castle lite lakini kwanini watumia wine hawalewi kama hizo local beer hata kama ukanywa kwa kiwango kingi?
4. Je ni zipi faida zaidia za kutumia Wine ukilinganisha na vinywaji vingine
Asante kwa ushirikiano wenu:flame:
 
Seriousness iliyopo ndani ya thread hii hairuhusu thread kukaa kwenye jukwaa hili, na bila shaka ndo maana hakuna aliyejitokeza kujibu.Mleta thread awaombe mods waihamishie pafaapo.
 
Saint anna ,saint celine, altar wine kuna kina robertson, kuna kina over100, drty hof, kina dodoma wine wewe tu.
 
si wine zote zna alcohol ...

kwa kukusaidia kuna aina za vilev vng

1] Gin au Gino. eg K Vant
2] Liquor eg Amarula
3] Spirit eg Konyagi
4] Beer eg Safari Lager
5] Whisky eg Jack Daniels
6] Vodka eg Vladmir , Pushkin...
7] Wine eg teacher , Dompo, Dodoma
Kiuhalisia Vodka na Whisky znakua kali na zna alcohol nyng... Vodca asili yake ni Russia maeneo ya baridi na Whisky Pia n Kwa Wazungu ila maeneo ya Baridi..

Kuhusu Ukali.. Vodka na Whisky ni kali na zna nguvu kulko wine na beer... Gin na Spirit ndo ztafuata lakuni wine na liquor zna alcohol kulko beer lakn s kwa kias kikubwa... pia huwa znakua tamu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom