Magari ya matangazo Mitaani

Magari ya matangazo Mitaani

mutu mrefu

Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
92
Reaction score
23
Habari wa Jf. Baadhi ya mikoa au wilaya hapa Tz kumekuwepo na kero kubwa ya vigari vya matangazo vyenye speaker kubwa na sauti za juu zinazokatiza mitaan na barabarani. Utakuta wanakatiza saa kumi alfajili mitaani huku wakiwa wafumefungua sauti za juu watu wakiwa bado wamepumzika. Wahusika litazameni hili kiundani
 
Back
Top Bottom