Angalizo kwa wana jukwaa

Angalizo kwa wana jukwaa

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Jana nikawa naipitia Bible, nikakutana na kipengele kinachozungumzia siku ya mwisho, kwamba siku hiyo kila kitu kitafunuliwa, mambo yote tunayofanya kwa siri siku hiyo yatakuwa wazi.

Mawazo yakakimbilia JF katika jukwaa hili, kuna watu wanafanya mambo kwa kudhani hawatajulikana, watu wengine mtu ungewaona ungeshangaa, huenda hata watu wakubwa wenye heshima zao wanayafanya haya, wanaweka uongo, mtu anaanzisha topic eti nina mzigo wa unatingishika.

Siku anajulikana unakuta hata siyo mwanamke na ni kimbao mbao tu. Je mnajua ipo siku isiyo na jina?
 
Da hapo hapo mkuu mara mme wangu ana gari tatu mi kazin naenda na bodaboda kumbe mnaishi nyumba ya kupanga na chenyewe chumba kimoja alafu we ni kibarua tu
 
kweli kabisa mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Da hapo hapo mkuu mara mme wangu ana gari tatu mi kazin naenda na bodaboda kumbe mnaishi nyumba ya kupanga na chenyewe chumba kimoja alafu we ni kibarua tu

bila kusahau nilipokuwa nachukua master yangu UK,mke wangu kaondoka na 10m.bila kuniaga wakati hajawahi hata kuzigusa anaona kwenye magazeti,wanawake wazuri utaishia kuwaita dada zako kumbe yeye mwenyewe choka mbaya.
mimi napendekeza wana jf wote tuje tukutane unyoya wa fedhaaaa unajulikana tu.
 
kazi kweli kweli hapa :A S wink::A S wink::A S wink::A S wink:
 
bila kusahau nilipokuwa nachukua master yangu UK,mke wangu kaondoka na 10m.bila kuniaga wakati hajawahi hata kuzigusa anaona kwenye magazeti,wanawake wazuri utaishia kuwaita dada zako kumbe yeye mwenyewe choka mbaya.
mimi napendekeza wana jf wote tuje tukutane unyoya wa fedhaaaa unajulikana tu.

Olemola mnho.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom