World Cup inaisha

World Cup inaisha

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,532
Reaction score
138,480
kwa wale wanaume/wanawake mliyozoea kuwapiga fiksi wapenzi zenu kuwa mnangalia mpira kombe la dunia linakwisha, mambo ya kurudi night kali sijui mtakuja na style gani ingine .....kupigana fiksi...najua kipindi hiki cha world cup watu mmetumia sana nafasi hi kufanya yenu.natanguliza salam
 
Back
Top Bottom