ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habarini marafiki zangu
Nauliza tu jamani !!
samahani sana kwa wale nitakaowaudhi kwa hili ila
kuna mtu hapa ofisini kanitibua tu, kumwambia afanye kazi
asiwe anazungukazunguka kama pia yeye akawaka kama
kawekea mbogo kichwani, halafu anasema yeye amefunga
KWANI mtu akifunga ni vyema awatibue wenzake au anatakiwa
aweje? nijibuni hapa waungwana.
NAULIZA ETI MTU AKIFUNGA AKIWA AMEWABOA WENZAKE
SI ANAKUWA AMEFUNGULIA NA UDHU YAKE HAIHESABIWI HUKO
ANAKOKUJUA YEYE?
Je mtu wa namna hii anapata dhawabu mbele za Mungu wake?
Kaniboa sana kwani nimempangia kazi yeye anajifanya kidumekibri
wakati anajua mm ni wa juu yake kiutendaji kanikera.
na nimemsamehe kwani sisi wanateamrafiki tumefundishwa kusamehe
NIMEULIZA TU HAPA