Katika maisha ya kila siku, kuna vitu, mtu au jina ukisikia tu, unakumbuka kitu, vitu vingine au watu wengine.
Kwa mfano mimi huwa nikimwona mtu fulani, huwa nakumbuka mwenge wa uhuru na huwa...
Wiki moja ina siku 7,
Shule ya msingi madarasa 7,
Huu ni mwezi wa 7,
Tupo msimu wa sabasaba,
Brazili wamefungwa 7,
Game imeisha saa 7,
Mathayo 7:1 inasema" na iwe hivyo kwa wenyeji wapewe vipande...
Tokea nimebalehe mpaka muda huu nmekuwa na mahusiano na wasichana tofauti tofauti (hawazidi watano) mambo yote katika mahusiano huwa naplay sawa sawa kabisa isipokuwa moja tu, kudekeza!
kila...
Kuna hii tabia imezuka yani utakuta kijana ana nguvu zake lakini akiona wazazi wana vi-asset viwili vitatu bhaaaasi anabweteka na kusubiria wazazi wake wafe ili atanue na hizo mali, hlf cha ajabu...
Sasa world cup imeisha rasmi, wale ambao waume zenu walikuwa wanarud usku wa saa nane had kumi kisa world cup mjue imeisha akikwambia alikuwa wodi cup ujue anaweza kuwa ni mchepukaji
Baba Mkwe akiwa mjini songea, aliipaki gari karibu na duka moja ili ajipatie mkate. Baada ya kujinunulia mkate wake,akaelekea liliko gari lake.
Hapo ndipo alipomkuta chizi mmoja pandikizi la mtu...
kwa wale wana-MMU wanaopenda mpira , natafuta company kumalizi hii ngwe ya mwisho ya WC 2014.
itakapo bamba ndiyo huko huko nielekee, tukishushia na burudani na shamra shamra za hapa na pale...
Hello wakuu, kwanza habari za siku nyingi? naomba radhi kwa wale wapendwa wangu wa hapa ambao hatujaonana ama kusalimiana siku nyingi sana.
Leo naomba kuuliza hivi wangapi tunakumbuka "school...
Nimeshaweka reserve kwa ajili ya watu wawili tu, mie na mdada kutoka MMU, pale Mlimani City kwa ajili ya kuangalia Final ya world cup 2014.
Kuna jamaa zangu nilikuwa naangalia nao, yaani ni...
Huwa wanaboa Sana, unakuta mtu anakwenda bar halafu ananunua maji tu au soda moja halafu anakaa siku nzima kuangalia tv, seriously watu wanalipa bili ya umeme wewe unakaa na kasoda kamoja the...
Pitia hapo ucheke
Dem: Baby mapenzi mi na wewe sasa sitaki mpaka tufunge ndoa..
jamaa: ok! Na mi masuala ya kuomba pesa m-pesa subili mpaka tuoane..
dem: ha baby hutaniw?
Habari za mchana ladies and gentlemen! tunatambua fika kuwa MMU ni love zone..
MMU ni stress free zone... MMU ni sehemu ambayo people dare talk happily!
sasa basi, naomba leo tuongee sisi kwa...
Karibu kila wimbo una mistari inayokamata. . . naanza na Msumari - Mzee Yusuph.
Dedication kwa wale wapenzi wa taarab, wakiongozwa na NN.
Vipi tena?
Msumari huooo. . .
Msumari una nini...
jamani kila nikimkumbuka yule sheikh jongo aliyelia bungeni na kudanganya anakosa usingizi kisa nyerere katukanwa huwa nacheka saaaaana kilikuwa ni kilio cha sekunde kama 3 tu
Habari wa Jf mara nyingine ktk pitapita zangu nimebahatika kukaa vikao vingi bar nimegundua ya kuwa wanywaji wengi wa pombe huwa wanaenjoy sana wakutana na wakinywa pombe pamoja. Pombe na walevi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.