Usipitwe aisee soma hapa

Usipitwe aisee soma hapa

Chamachama

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
200
Reaction score
129
LOOOOOOOO AKU BABU WEWE NGOJA LEO NISEME NENO HAAAA?

WASICHANA HUMU NDANI KUJIFANYA MNAPRETEND MAISHA YA KIZUNGU KAMA KUNYA HAMYI MARA OOOOOO cjui kikaenda kikarudi pambafu zaenu.

Mara ooo sitaki kuolewa mara ooomwanaume hakubabaishi muongo mkubwa wakati unatamani kuolewa,mapenzi yanakuliza kila kukicha ,unaingia humu ndani ooo msimamo wangu msimamo wangu haha hamna lolote ninyi mmevurugwa wanaume kila kukicha ni kuwatumia unatamai akwambie tuu ndoa ila mnashindwa mkiona upepo haujisom ooo sibabaishwi.

Hahaha mmm mwenyewe nilipo hapa natamai nana anioe japo umrri wang haujanitupa haa mara ooo usiolewe kisa furani kaolewa ,usiolewe kisa umri unaenda.

Usiolewe visa kibao looo hamna lolote mnatamani ndoa mnashindwa ,kwakwakwa msubiri sasa mtasugua magaga ,sura zitawaporomoka,na wa kuwaoa mda mnaotaka mkakosa.

Loo utaishia kuwa sugar mamy na ikumbukwe dushelele ni tamu sana looo,hii ni kwa wanawake/wasichana wenzangu,hata mtukane vipi habari ndo hiyo
 
hii inaitwa utajiju, makubwaa!!
 
Huku sijui tuseme ndo kutirirka au...Maana kuanzia nisome sijaona mahali kuna NUKTA...Yani una tirirka ile mbayaa..
 
Duh kweli Quito imeingiliwa na masai hahahaha ni full kupandisha mori, vip kwani unaugomvi na mtu maa umeandika kama wawai ndege airport teh teh. Nina ? maana umefurukuta kaa maziwa ya mtindi lol!!
 
mhhhhhhhhhhhh hiki ni kizungumkuti!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Eeeeh kumekuchaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hatar tupu kwaio unaamua nin???? andamana bas
 
Mi napita zangu tu! ila jifunze kupangilia hoja ili ueleweke vizur.
 
Mmmmmmmmmmh! Jiwe limerushwa kizani hili! Hheheeeeeeeeyaaaaaaaa! Mama Dinazarde na kati ya mitaa ya mwanza usipitwe.

Weeeeeeeeeeeeeeeee kantangazeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kuolewaa ni sheriaaaa hata wahenga walisemaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom