JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wife: sweety, which teams are playing today? Hubby: There is no match today. Wife: Oh! It's over? So who won? Hubby: it's not over, they are just resting today Wife: Oooh... So they'r on halftime...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
KABLA KUOWANA Mvulana: Kutoka zamani nina subiri moment hii, Msichana: Wapenda niende zangu? Mvulana: No no no no, Msichana: Wanipenda kweli? Mvulana: Bila shaka, Msichana: Ukimpata msichana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna kampuni moja ilitangaza kazi ya makatibu mukhutasi (Personal Scretary), basi katika mchakato wadada watatu wakaitwa , interview ilikuwa kama ifuatavyo, Bosi: Nawauliza maswali ya kupima...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wa kwanza ni mimi. Nahisi kama nitakosa uhuru wa kuchangia. Kama na wewe upo toa sababu kwa nini hutaki kujuana na member wa JF.
0 Reactions
137 Replies
10K Views
Nimekuwa nikiyaona majina mbalimbali yanayoanzia na Miss then followed by jina la kabila fulani ama kitongoji fulani. Ni makabila machache yana uwakilishi huku kati ya makabila zaidi ya 120...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Jamanii jamaniii jamanii wajameniiiiiiiiii natumaini hamjambo wote, wagonjwa poleni mtapona semenii AMINAA Jamani kujichubua kujibadili ngozii kutoka ngozi nyeusi hadi nyeupe kunawatesa watu...
20 Reactions
385 Replies
27K Views
KUTANA NA MTU MWENYE HURUMA ZAIDI DUNIANI. Jamaa kafiwa na mkewe. Wakiwa makaburini alimuona mwanaume mmoja analia sana huku akijigalagaza. Mume mfiwa akamuuliza rafiki yake, Mbona huyu analia...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Hi! Jamani naomba kwa wale wote waliosoma Ifakara sekondari (machipi) naomba tujikumbushe baadhi mambo ya shule yetu, 1. Mihogo ya ambanjaula 2 nesi wetu wa shule mdundiko na mwingine...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
Jamaa alikuwa anatafuna popcon gafla moja ikadondokea ndani ya shati,jamaa kashusha mkono ndani ya shati akamate ki-popcon chake akitafune mara akakuta amekamata bonge la mende akidhani popcon na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yaani ni maajabu na kweli na kuwapata wanawake wa aina hii enzi hizi ni vigumu sana. Mwanamke ambaye anaweza kukuambia ukweli wake wote bila kukuficha jambo lolote lile. Amini usiamini kanambia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Watu wangu wa nguvu mpo? Niliadimika kidogo katika jukwaa letu, kwa ambao naonekana mgeni kwenu wala msiwaze mkadhani mumeingiliwa... Mie ni mwanafamilia wa CC niliyerudi kundini. Sema yote...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Jana nilicheka sana haa kweli JF mambo mwe mwe, nyumbani kuna babu yangu kaja kusalimu tena ana umri miaka 82 sasa hivi, mara nyingi JF naingia nikiwa kwa ofisi natumia desktop. Jana naingia...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu. Baada ya mihangaiko na michako ya maisha watu tunakuja MMU kupunguza stress kama si kuondoa kabisa. Kwa wale wapenzi wa kabubumbu wanamfahamu sana mzee wenga. Ni kocha wa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Zamani nilikuwa napigwa sana vibuti, kila demu ninaye mtongoza ananiambia ana mpenzi wake lakini toka mwezi wa pili mwaka huu niliponunua gari Nissan Murano sijawahi kupigwa kibuti. Wengine...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
jamani kuna hoja nying znazuka kwa vijana #wanafunzi eti usipo kuwa na dem unaweza kufeli kutokana na nyege nyege .je unalizungumziaje swala hili
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Ni saa 7 usiku Eneo la KIMARA DAR, mwendesha bodaboda anamalizia kuvuta bangi. Anaingia bafuni na kujimwagia kopo la kwanza la maji na la pili, anashtuka na kuanza kupiga makelele na kutoka nje...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni wadada wenye utashi wa kutoa hoja na kuteka mitizamo ya wanaMMU pindi wanapoingia JF. Wote wanamitizamo ya ku'hate' free P : yaani free P according to wao ni wanaume wasiopenda kugaramia at the...
1 Reactions
52 Replies
3K Views
Ikifika mida ya saa mbili usiku familia nzima iko sitting room kimya, kibonde akianza tangazo lake utasikia hebu punguza sauti, mara hebu weka TBC, au itatokea to story ambayo haikuwepo kudistruct...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu nikiwa na dem wangu tumetulia ndani, huyu dada ni anamatatizo ya macho, akanituma nikamnunulie dawa hizi za drops, wakati narudi sikufunga mlango. Sasa kulikua na majirani wamekaa nje mida...
12 Reactions
68 Replies
19K Views
■ Msichana:baby leo bata wapi? ■Jamaa: kwenye banda lao!!!
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom