JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habar ya leo wanajamvi, Hatmae nmerudi tena baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu. Nawatakia siku njema.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Zamani ilikuwa ni mabenki tu ambayo ili upewe pesa lazima uweke dhamana ya mali isiyohamishika, yaani piga ua garagaza bila kuwa na mali isiyohamishika huwezi pewa pesa benki. Lakini sikuhizi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo nimekuja na ujumbe vijana wenzangu nia yangu ni kuwapa uwelewa na kuwatoa ktk usingizi..,Natambua wengi wenu hamjui na hamtambui dunia hii inaongozwa kisiri., yaani ni siri ambayo iko wazi na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1999 : BRAZIL 4 - 0 GERMANY 2002 : BRAZIL 2 - 0 GERMANY 2004 : BRAZIL 1 - 1 GERMANY Total = BRAZIL 7 - 1 GERMANY BUT IN THE YEAR 2014 BRAZIL 1 - 7 GERMANY WHO...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kusoma kuelewa kukesha mbwembwe!!! Msuli tembo matokeo sisimizi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar zenu wana jamiiii... Naomba kufaham ni software gani ambayo unaweza install kwenye simu na kuweza kapata sms na location za mpenz wako bila ya yy kujua....?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, my view point ni hii, men should marry women with the same level of thinking or atleast near or close to your thinking, ukioa mwanamke uliyemzidi sana, -hamtaelewana -hatakuelewa...
4 Reactions
58 Replies
4K Views
Muda una kwenda kasi mambo mengi yanaibuka mengine yanabaki historia Kama ilivyoibuka misemo mingi ukiitizama inabeba maaana Fulani kwa kipindi husika Zama hizi tulizo nazo wanaziita zama za...
0 Reactions
1 Replies
914 Views
"...unaambiwa mbinguni ni noma. Kwanza kule si kama huku, hali ya hewa ya kule ni ka ubaridi fulani yani kuna ka upepo mwanana muda wote. Mazingira ya kule ndio kabisaaa... kila mahali ni ukoka...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
huu msemo nimeuona kwenye daladala moja Leo nikafiria sana mwishoni nikaona kuna ukweli Fulani.sijui wenzangu mnasemaje
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani wana-jf nipo Tabora kwa wanyamwezi,kama upo hapa plz PM me japo tuonane na kufahamiana si mbaya ati.Hata company yenu. Nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Kutokana na kazi mzuri wanayofanya hapa JF wafuatao wameteuliwa kuwa washauri wa mambo yakimaendeleo ya CCM. Si wengine bali ni: Msalani, Lizaboni, Rutashobolwa, GSU, Simiyu yetu, Faiza Foxy
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rafiki yangu m1 bwana, alikuwa anafanya kazi NBC ss iv ni RIP, alikuwa anafurahisha. Siku 1 tuko ghetto kwake amepika ugali nyama ya mchuzi na ndo anapanga mezani, akasema, "daah, yaani hapa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chajieleza!ATM machine inachomekwa kila kadi,sasa mbona baadhi ya mabinti mnajirahisi sana kila dushe kupenyezwa kunako.Kiungo kitumike kwa busara na muwe na huruma nacho
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Yaani unakaa na mtoto wa watu miaka 5 ya uchumba, ushamfunua- funua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani, unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa, mtoto wa watu...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Japo kumekuwa na maneno ya kuwafariji weusi ili wasijisikie kutengwa kama "black byuti/black is byuti/african kwini" na maneno mengine yanayofanana na hayo lakini ukweli ni kwamba rangi nyeupe ni...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
neno 'nyuma' ndio neno linaloongoza kwa kutamkwa na makondakta wa daladala. utafiti unaonesha kuwa, jijini dar es salaam, kwa wastani, kondakta mmoja hutamka neno 'nyuma' takribani mara 833 kwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Baba umekuja! Leo Robert atalala wapi? Nimetoka kumpokea rafiki yangu bwana mtumishi wa kampuni kubwa ya madini hapa nchini..alikuwa safarini nchini Canada kikazi muda wa siku 34! tumefika...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
DAH siamini lakini ndio ukweli uliopo niko msiban huku marangu Kama ujuavyo nikakuta timuya watu nkafyata mkia kufika nakuta bar Imeandikwa Zunguka Zunguka Bar Loh wachaga nko fit bana
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nasikia FIFA baada ya uchunguzi wa kina wameamua kumsamehe Suarez kwa sababu wamegundua yule beki alomng'ata ni binamu yake , wametumia principle ya Binamu nyama ya hamu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom