Chamachama
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 200
- 129
Jana nilicheka sana haa kweli JF mambo mwe mwe, nyumbani kuna babu yangu kaja kusalimu tena ana umri miaka 82 sasa hivi, mara nyingi JF naingia nikiwa kwa ofisi natumia desktop.
Jana naingia home nakuta baba ana laptop nzuri sana, tena anachart, mimi kumsogelea nakuta yuko jamii forum page hii ya urafiki na mahusiano, nikamuomba nione kama anaelewa.
Haa kajiunga tena ni member wa siku nyingi ana jina lake mwenyewe na anapost na kuchangia haa jamani niliona vituko zaidi anamsifu sana mtu anaeitwa heaven on earth, lara 1, miss nedy, watu kibao kanitajia anaowakubali mara mzizi mkavu, haa jamani nimegundua humu ndani huenda kuna watu zaidi ya huo umri.