Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,721
Ni wadada wenye utashi wa kutoa hoja na kuteka mitizamo ya wanaMMU pindi wanapoingia JF. Wote wanamitizamo ya ku'hate' free P : yaani free P according to wao ni wanaume wasiopenda kugaramia at the same time wanataka "gegedo". In fact wanapenda maisha ya ukwasi, kwa jinsi wengi wetu tunavyozisoma post zao. Mbali ya kuonekana kwamba wote wanapenda maisha flani hiv ya ukwasi ila inaonesha pia wapo tayari kuishi na wanaume wachacharikaji hata kama hawanazo za kutosha.
Kwa upande mngine upeo wao wa kufikiri upo juu kuhusu maisha na inaonekana they have a lot of experience concern life halafu hisia zao zipo juu sana kuhusu maisha na mapenzi i guess they have experienced humble beginning somewhere. Hata signature zao zinajionesha dhahiri "kubwa la maadui.. sex is easy love is expensive... get rich or die"...
eeeh hapo vip hapo, kwani wewe unawaonaje hawa... Ukijiskia ongezea mengine ila usipojiskia unaweza kupotezea... mi nimeamua kuwaelezea hawa watu aisee but dont quote me wrong that i might have weak mind.... :A S crown-1:
Strong minds discuss ideas, average minds discuss events, weak minds discuss people.
― Socrates