Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,627
Heshima kwenu wakuu.
Baada ya mihangaiko na michako ya maisha watu tunakuja MMU kupunguza stress kama si kuondoa kabisa. Kwa wale wapenzi wa kabubumbu wanamfahamu sana mzee wenga.
Ni kocha wa washika bunduki wa London. Huyu mzee ana falsafa ya soka la kuvutia na udambwi dambwi mwingi na si soka la kupaki mabasi mawili.
Lakini cha ajabu pamoja na umahiri wake wote huo huyu mzee soka hakulicheza na wala halijui ila ana soka la kwenye kitabu yaani soka amelosomea tu, tumpe hongera mzee wa watu.
Twende kwenye point. kuna mdada hapa MMU anakimbiza mbaya, ni nini hajui kuhusu mapenzi nikisoma comment zake huwa natamani siku moja nimuone tu na nadhani ME yeyote humu angependa akutane nae.
Swali je falsafa ya huyu mdada ni sawa na ile ya mzee wenga? mpira hakuucheza na wala haujui kuucheza. Huyu dada anayajua kuyaelezea, kuyachambua na kuyadadavua mapenzi bila ya kutafuna maneno .
Je ni novel , drama ua tamthilia zinamsaidia? au anayaweza kweli? huyu si mwingine ni bibie @ Evelyn salt,
Samahani kama nimekukwaza. Mtathmini huyu dada, anayajua kweli au ni sawa na mzee wenger?