Tangu nimenunua gari nikitongoza sikataliwi

Tangu nimenunua gari nikitongoza sikataliwi

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Zamani nilikuwa napigwa sana vibuti, kila demu ninaye mtongoza ananiambia ana mpenzi wake lakini toka mwezi wa pili mwaka huu niliponunua gari Nissan Murano sijawahi kupigwa kibuti.

Wengine wananitongoza wenyewe, yaani nachagua tu.... sijui toka nimenunua gari nimekuwa handsome?

Kweli Mjini gari, kama nyumba hata mbuzi anayo.
MCHUNGUZI HURU
 
Last edited by a moderator:

Hirizi ya kijapan hiyo, hatari sana.
 
hongera sana kwa kununua gari jamaa, lakini hivi hao unawatongozaje....? nani anaingia gharama za kugegeda huko? eti MCHUNGUZI HURU.....!?
 
Last edited by a moderator:
hongera sana kwa kununua gari jamaa, lakini hivi hao unawatongozaje....? nani anaingia gharama za kugegeda huko? eti MCHUNGUZI HURU.....!?
ni maneno matatu tu mkuu. Habari dada?... naomba nikusogeze mpaka hapo mbele... Unaitwa nani?.... ukishaongea hayo mbele ya gari ndio kutongoza kwenyewe, ukiwa na gari hakuna kupigiana magoti wala kubembeleza. Ye mwenyewe ataanza kukuuliza, unakaa wapi, unafanyakazi wapi, umeoa..... naweza kukufahamu kwako? hahahahahaha
 
Last edited by a moderator:
MCHUNGUZI HURU , hua unagonga misumari mule mule, nakukubali mbayaa...
 
Last edited by a moderator:
Zamani nilikuwa napigwa sana vibuti, kila demu ninaye mtongoza ananiambia ana mpenzi wake lakini toka mwezi wa pili mwaka huu niliponunua gari Nissan Murano sijawahi kupigwa kibuti. .......
MCHUNGUZI HURU
Angalia wasije kukuumbua unaowa PM na wanakupiga chini. Naamini wanawake wana siri zetu nyingi na pindi wakiamua kuziweka wazi sijui nyuso zetu tungezificha wapi. Karibu Njinjo
 
Zamani nilikuwa napigwa sana vibuti, kila demu ninaye mtongoza ananiambia ana mpenzi wake lakini toka mwezi wa pili mwaka huu niliponunua gari Nissan Murano sijawahi kupigwa kibuti.

Wengine wananitongoza wenyewe, yaani nachagua tu.... sijui toka nimenunua gari nimekuwa handsome?

Kweli Mjini gari, kama nyumba hata mbuzi anayo.
MCHUNGUZI HURU
Mkuu PhD holder, umehangaika kweli kutafuta kazi (Link hii https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/595707-nina-phd-natafuta-kazi.html), umepata kazi juzi juzi ya kufundisha vijana wetu vyuoni umefikia kukopa na kununua gari kwa ajiri ya kutuharibia dada zetu! Soon utaupata u-professor wa kuchungulia K!
 
ni maneno matatu tu mkuu. Habari dada?... naomba nikusogeze mpaka hapo mbele... Unaitwa nani?.... ukishaongea hayo mbele ya gari ndio kutongoza kwenyewe, ukiwa na gari hakuna kupigiana magoti wala kubembeleza. Ye mwenyewe ataanza kukuuliza, unakaa wapi, unafanyakazi wapi, umeoa..... naweza kukufahamu kwako? hahahahahaha
ngoja na mimi nitajaribu.....
 
inategemea na daraja la hao wadada wenyewe, dada usiyemjua kumkuta njiani hamjaongea kitu kumwambia umsogeze akubali basi ujue hasara tupu. siku moja tulikuwa tumekaa sehem fulani tunakula miwa na majamaa, kamvua kalikuwa kananyesha taratibu, pembeni ya pale kuna kituo cha daladala kisicho rasmi ddada mmoja mzuri alikuwa amesimama pale na mwamvuli wake anasubiri daladala, jamaa mmoja ------ akawa anakuja alipofika usawa ule akamwona mrembo, akasimama akarudi nyuma mpaka kwa yule dada, akafungua mlango na kumwambia kwa sauti "twende"..yule dada akaangalia upande aliotokea yule jamaa akaona wazee wawili wa makamo wamesimama wakisubiri daladala pia, akamjibu jamaa "ina maana wale pale haukuwaona", jamaa wote pale wakaangua kicheko, jamaa aliondoka pale kasi mbaya nusura agongane na mtu wa boda aliyekuwa akiingia barabarani...loh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom