Wana JF ambao hawajuani na MEMBER yeyote JF

Theodore Bagwell

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
940
Reaction score
226
Wa kwanza ni mimi. Nahisi kama nitakosa uhuru wa kuchangia. Kama na wewe upo toa sababu kwa nini hutaki kujuana na member wa JF.
 
thread yako haina mashiko wala msingi wowote, mbona wapo verified user humu kwa mdogo kama Yericko nyerere na William malecela? mbona wanachangia full kujiachia?

no research no data no rights to speak.
 
mkuu wengine humu ndani ni WAKINA JACK ZOKA. ogopa sana mtu ana ku PM namba yake ya simu anasema umtafute alafu na wewe unaingia kichwakichwa. ukitaka kufahamiana na mtu humu ndani hata akikupa namba yake ya simu, mzoeane kwanza kwenye simu.
 
Wengine bila kufahamiana humu, hawataki upost kwenye thread zao,
 
Tunajuana sana. Unakuta hadi tunatukanwa na watoto/wadogo wetu tunanyamazia tu.
 
Wala hakuna tatizo lolote katika kufahamiana humu, punguza uoga
 
thread yako haina mashiko wala msingi wowote, mbona wapo verified user humu kwa mdogo kama Yericko nyerere na William malecela? mbona wanachangia full kujiachia?

no research no data no rights to speak.

Hao uliowataja wanadefensive mechanism zinazowasaidia ndiyo maana wanauhuru wa kukoment wanavyotaka
 
mkuu wengine humu ndani ni WAKINA JACK ZOKA. ogopa sana mtu ana ku PM namba yake ya simu anasema umtafute alafu na wewe unaingia kichwakichwa. ukitaka kufahamiana na mtu humu ndani hata akikupa namba yake ya simu, mzoeane kwanza kwenye simu.

Ni kweli mkuu kuna member humu wameshakuja na hoja za kulalamika kupokea kipigo kutoka kwa watu wasiojulikana lakini chanzo unakuta ni shambulio lilopangwa na member wa JF mwenzio uliyepanga kukutana naye. Mi sitaki kabisa na sitajuana mtu humu
 
wewe nani akutafute kukupiga wewe kiluilui tu bora hata ungekuwa kidagaa! wewe cha kukuogofya ni kuchukua wake za watu tu, kama unachukua wake za watu kweli utapigwa, na mimi nasema wakupige tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom