Katafuna mende badala ya popcon

Katafuna mende badala ya popcon

Technician

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2010
Posts
841
Reaction score
224
Jamaa alikuwa anatafuna popcon gafla moja ikadondokea ndani ya shati,jamaa kashusha mkono ndani ya shati akamate ki-popcon chake akitafune mara akakuta amekamata bonge la mende akidhani popcon na kutia mdomoni,akahisi kitu tofauti baada ya kushtuka tumemuona akajifanya ni popcon akatafuna na kumeza,lakini alishindwa kuvumilia akatapika mbaya kabisa.
 
Hii tabia ya kuvaa makoti bila kukung'uta ni hatari sana,mende wanajaa sana kwenye makoti.
 
Mmmmm! nafurahia huwa hudanganyi.....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom