KUTANA NA MTU MWENYE HURUMA ZAIDI DUNIANI. Jamaa kafiwa na mkewe. Wakiwa makaburini alimuona mwanaume mmoja analia sana huku akijigalagaza. Mume mfiwa akamuuliza rafiki yake, Mbona huyu analia sana! Ni nani huyu? Rafiki yake akamjibu, huyu alikuwa anatembea na mke wako. Jamaa kwa huzun akamfuata na kumnong'oneza nyamaza nitaoa mwingine!!