Sikia hii inetrview ya masecretari watatu.

Sikia hii inetrview ya masecretari watatu.

prospa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
554
Reaction score
157
Kuna kampuni moja ilitangaza kazi ya makatibu mukhutasi (Personal Scretary), basi katika mchakato wadada watatu wakaitwa , interview ilikuwa kama ifuatavyo,

Bosi: Nawauliza maswali ya kupima ufahamu kabla sijaanza usahili ya kitaaluma.

Watahiniwa wote kwa pamoja: Sawa tupo tayari

Bosi: Inasadikika kuwa wanawake wana midomo miwili je kuna ukweli katika hili , na je ni ya kazi gani?

Mtahiniwa wa 1: Si kweli Bosi Wanawake wote tuna mdomo mmoja kama binadamu wengine.

Bosi: Safi sana, ehee kuna mwenye jibu tofauti?

Mtahiniwa wa 2: Bosi mimi nadhani ni kweli wanawake wana midomo miwili mmoja wa kuongelea na mwingine wa kutolea maji machafu mwilini.

Bosi : Hongera safi sana , ehee dada ulobaki una jibu tofauti ,

Mtahiniwa wa 3: Baada ya kufikiria kwa sekunde kadhaa akatabasamu na kusema ndio mimi nina midomo miwili , mmoja kwa matumizi yangu na wa pili kwa matumizi ya Bosi.

Bosi : Safi sana safi sana, Hongera sana umepata kazi kesho njoo uripoti saa kumi na mbili asubuhi ofisini kwangu moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom