Sikumoja Nunda alirejea shule na kumwambia baba yake kuwa amepata "F"
Baba yake akashangaa sana vipi umepata F
Nunda; Mwalimu aliuliza 3X2 nikamwambia jawabu ni sita
Baba: Ni sawa sawa kabisa ...
Waswahili wenzangu eeeh, hebu nipeni sifa za huyo mtu, yukoje? na unawezaje kujua fulani yuko hivi na sio fulani? Aagh maneno mengine yanakera sana hatakurudia kuyatamka. Naombeni mnisadie wajameni
Kwa mitandao ya kijamii na runinga za Tanzania, nimeona warembo wa aina yake.. Kenya wapo lakini Tanzania naona wametuzidi kubeba malaika tena wako social sana..wana jf maoni yenu ni yapi
Mwenye uwezo anijulishe, kuna ndugu anatesekaje na Pombe. Wamemshauri mama yake amwekee maziwa ya Kitimoto siku akiwa anakunywa. Wakamwasa atatapika sana ajiandae kwa hilo.
Mwenye Idea na hili!
Yaani Nunda ndio kwanza yupo darasa la pili.
Siku moja aliugonga mlango wa nyumba yao na kuufungua kwa kishindo huku akihema na kumuuliza mama yake ,eti mama watoto wadogo wanashika mimbah ...
Nikitambo Sana Baada ya kupoteana kwa muda mrefu hatimaye nimerudi tena jamvini.Niliku Miss You So Much Kwa Kweli.Njoo Basi Kabla Sijapotea Tena Humu Jamvini Tafadhali.
Nikitaka kuzihesabu zinaweza kufika hata jumbe mia sasa kwenye akaunti yangu ya yahoo.
Ni watu wanaonitumia kuelezea aidha matatizo yao,
Wengi wao wakidai kuwa wana matatizo makubwa ya kiafya na...
Kuna jamaa alikopa Tigo niwezeshe,jamaa hakulipa deni lile kwa siku kama tatu hivi.
Siku moja akiwa kwenye barabarani akaona hiace yenye maandishi,nembo na picha za tigo likielekea usawa...
Napendelea zaidi ueaziri mkuu,uwaziri wa nishati na madini na unaibu wake au ukatibu.
Sifa
1.nina uzoefu wa kusema uongo toka nikiwa mdogoambapo nikikudanganya wewe mjukuu wako atakuja kung,amua...
Habari wana jf
Kuna mdogo wangu hapa anatatizo la kusikia ambalo lilianza kdogo kidogo NA mpaka sasa tatizo limekua kubwa zaidi hivyo kama kuna anaejua dawa yoyote hata ya kienyeji itakayoweza...
Happy Birthday MziziMkavu, napenda kuvhukua fursa hii kukutia siku njema ya kukumbuka kuzaliwa kwako na kukutakia maisha marefu zaidi ingawa unazeeka sasa!
Coming to America Movie: Eddie Murphy had a very strong point
Alipomuuliza baba yake "......... and why, why can't I find my own wife"?
Hakuna kitu kibaya duniani kama kuwa manouvred around...
Sitaki maneno mengi, nimekukumbuka sana mwandani wangu. Nilipoiona hii barua tena juzi nilifurahi sana.... Kazi kwenu msiokuwa na Library. Kesho nitaweka majibu ya barua hii. Chakaza...
Ni swali nimekua nikijiuliza Mara nyingi bila kupata jibu inasababishwa na nini mwanaume wakati WA aja ndogo (kukojoa) huwa atanyanyua macho juu aitha wakati anaanza AMA karibia na kumaliza...
Napenda kuwapongeza wale woote wanaoapishwa leo baada ya kufanikiwa kumaliza na kufaulu masomo ya "Law School" na hatimae kuwa wanasheria.
Napenda kuuliza zawadi gani nzuri kumpatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.