1.Mwaka ndio unaishia, utakuwa unatathimini uliyoyafanya tangu mwaka uanze, pengine unafurahia au kujutia, Mshukuru Mungu kwa yote, jipange kwa mwaka ujao.
2.Umejipanga kwa ajili ya Krismas...
Nchi gani inaongoza kwa kuwa na mabinti
wazuri??
1. Ghana
2. Nigeria
3. South Africa
4. Kenya
5. Zimbabwe
6. Côte d'Ivoire
7. Liberia
8. Tanzania
9. Sierra Leone
10. Andika...
Wakuu salamu zenu!
Nimekasilishwa saana na huyu ndugu yangu ambae ni binamu yangu, ameamua kumpa jina mwanae ESCROW... tuligombana saana leo asubuh kwani kumpa jina hilo ni sawa na kumrithisha...
Hali zenu,
Jamii forum inanipa raha sana, u will never feel lonely, maaana ukiacha topic zenye kufurahisha, majina ya wachangiaji nayo ni burudani toshaa!. Kuna baadhi ya lD mpaka unajiuliza huyu...
Habari zenu wana MMU,wikiendi ndo iyoo inaishia taratibu...
Ni hivi hii kitu imenitokea kama mara tano hivi,kila ninapokua na mpenzi baada ya muda mfupi,rafiki wa mpenzi wangu lazima atanitaka...
Hapa Niko Nafikiria Habari Za Kuzeeka Zilivyo Na Viraka, Shuzi Linanitoka Ninapowaza Zile Stage Za Mikongojo Na Ngozi kuchoka, Ooops. Mbaya Zaidi Hata Mashine Nayo Inablock, Ina maana Watoto...
Nataka Mimi Ndie Niwe Msimamizi Mkuu Ktk Chungu Cha Kupikia Hela
Hela Hizi Hizi Tunazotumia Kununua Mahitaji Ya Kila Siku...Namaanisha Kama Zile zinazoleta Vurumai Bungeni
Hii Kazi Naisikia...
Mwewe anaruka kila sehemu na ndio maana linaona mengi. Watoto wa kitanzania wametakiwa kufundishwa uzalendowa nchi yao,siyo nchi zingine. Hivi juzi mwewe hakufurahishwa pale alipotembelea sehemu...
Baba:- Unajua Tizo juhudi zako katika masomo hazitoshi, Mwalimu Nyerere alipokuwa na umri kama wako alijua kusoma na kuandika ndiyo maana walimpandisha madarasa haraka haraka..
MTOTO:- Unajua...
HELA YA ESCROW!!! Kiasi :321,000,0000,000 /= Bei ya Bia : 2500/= 321,000,000,000 /2500 Idadi ya biani = 128,400,000, Idadi ya watanzaniani 44,000,0000 Then 128,400,000/44,000,000 makadirio ni bia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.