flyingcrane
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 241
- 88
Kwa mitandao ya kijamii na runinga za Tanzania, nimeona warembo wa aina yake.. Kenya wapo lakini Tanzania naona wametuzidi kubeba malaika tena wako social sana..wana jf maoni yenu ni yapi
Sina hakika........ivi papuchi nazo ni kigezo cha uzuri.
Inategemea wanawake wa Tanzania unawapambanisha na wanawake wa nchi gani?
Kutoka huku kwetu Kenya