Dawa ya masikio

Dec 4, 2014
9
3
Habari wana jf
Kuna mdogo wangu hapa anatatizo la kusikia ambalo lilianza kdogo kidogo NA mpaka sasa tatizo limekua kubwa zaidi hivyo kama kuna anaejua dawa yoyote hata ya kienyeji itakayoweza kumsaidia asisite kunambia
 
Mmejaribu hospital?
Inawezekana lina uchafu ndani,ila kitu kimoja ,chukulia mimi ndio Doctah ,okay.
Mtoto wako anaumwa na sikio ,sawa ,limeanza muda gani ,labda ni mwezi au zaidi au pungufu ,je anapendelea kuoga baharini ,labda ana miaka mingapi ,umejaribu kummulika ndani ya sikio kwa tochi kali iliyo na target kwamba unaweza kuona kwa ndani kama kuna uvimbe. Je sikio huwa linauma,linatoa uchafu aka Usaa. Je uliwahi kumvisha headphones ,je umepeleleza ni masikio yote mawili au moja tu ,vipi anayobalance ya kusimama kutembea bila ya kupepesuka labda kama amekaa akinyanyuka ?:mimba: Au umekusudia mtukutu ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom