Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Yaani Nunda ndio kwanza yupo darasa la pili.
Siku moja aliugonga mlango wa nyumba yao na kuufungua kwa kishindo huku akihema na kumuuliza mama yake ,eti mama watoto wadogo wanashika mimbah ? Mama yake hapana Nunda watoto wadogo wa kike hawashiki mimba wala wakiume.... ,yaani Nunda hata hakusubiri mama yake amalizie mistari ,akachomoka nje mbio huku akimwita Chausiku ,Chausiku chausiku tuende tukacheze :becky: