Ongea bure na Tigo saa 24!!bonge la ofa.Wahi haraka

Ududu

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
1,021
1,500
Nenda uwanja wa msg andika namba 155100000051 tuma kwenda 155100000051 upate dakika 1440 yaani saa 24 bure...Enjoy!!!!
 
Kugeuka

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
329
250
Hahahahaaaaaaa!!!!! Mkuu nilidhani utani,kumbe kweli kwa wateja waliochaguliwa
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,819
2,000
Hapa ndipo waswahili walipotulogea!!!
Ni akili zako za kujinyanyapaa ndizo zinazokufanya uwe na mawazo hayo.

Ingia kwenye Torrent Sites uone hao wasio Waswahili "wanavyohangaika" na vitu vya bure.
 
Ududu

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
1,021
1,500
Ni akili zako za kujinyanyapaa ndizo zinazokufanya uwe na mawazo hayo.

Ingia kwenye Torrent Sites uone hao wasio Waswahili "wanavyohangaika" na vitu vya bure.
Labda hukunielewa Mkuu.
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,819
2,000
Mkianza kukatwa katwa hela zenu mtakuja kulalama huku.
Wanatufilisi sana. Ukijiunga na vi-Bundle vyao vyenyewe network mgogoro na muda ukifika hawakuongezei hata sekunde moja.

Nikiwaotea ni kuwapiga tu! Na wao wakiniotea wanipige. Kama mbwai iwe mbwai.

Kuna kipindi miaka ya nyuma Mama aliniagiza nikai-Renew line yake ya Voda, sijui walikosea kitu gani ikawa haikatwi hela, kilichotokea Mungu ndiye anayejua. Rafiki zangu wote nikawa nawapigia kwa namba ya Mama. Simu ilikuwa inatumika muda wote.

Narudia tena, nafasi ikipatikana nawapiga tu! Nimeijaribu hii imekataa.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,341
2,000
Don
Ukisema hivyo tungekulia kwenye mapipa...wazazi waseme no free lunch
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,819
2,000
Nikajua hii njia inafanya kazi nimwambie na shemeji/wifi yenu naye ajiunge nipate points tatu za bure kumbe njia yenyewe zengwe. Nimeona nikae kimya asije kuhisi na mimi nina ashiki majinuni.

Sijui ni lini na mimi nitaanza kuwa na hela kama za Rugemalira niachane na hizi habari za kwenda mavyuoni kujiunga na vifurushi vya vyuo.
 
Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,509
2,000
Nikajua hii njia inafanya kazi nimwambie na shemeji/wifi yenu naye ajiunge nipate points tatu za bure kumbe njia yenyewe zengwe. Nimeona nikae kimya asije kuhisi na mimi nina ashiki majinuni.

Sijui ni lini na mimi nitaanza kuwa na hela kama za Rugemalira niachane na hizi habari za kwenda mavyuoni kujiunga na vifurushi vya vyuo.
Ashiki majinuni ndio nini mkuu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom