tanganyikakwanza
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 493
- 188
Napendelea zaidi ueaziri mkuu,uwaziri wa nishati na madini na unaibu wake au ukatibu.
Sifa
1.nina uzoefu wa kusema uongo toka nikiwa mdogoambapo nikikudanganya wewe mjukuu wako atakuja kung,amua akiewa na miaka 105.
2.kwenye kuficha vitu mimi ni kiboko ni kama wajerumani mambo waliyoficha ardhini tanganyika enzi za vita ya kwanza bado hamjaviona hivyo nikificha mikataba ya gasi na madini hata lije bunge la israel halioni kitu.
3.nina uwezo wa kugawa hela tofauti na wahaya yaani nikikugaia bil kumi nakupa na conceling kiasi kwamba hata kama hukuwahi kuzishika mchecheto hakuna.
4.Mimi sio mtoto wa mkulima bali ndo mkulima mwenyewe.
5.Huwa siingizaji maringo kwenye issue ambayo nimehusika.
6.nina uzoefu wa kugeuka kama kinyonga,yaani bunge liking'ang'nia nijiuzulu nazuga kutangaza lakini kesho eananikuta ofisini nasaini mikataba.
Yaani nina sifa nyingi kuliko waliokuwepo.natanguliza shukrani
Cc riz,albert,nk