Maziwa ya kitimoto yanapatikanaje?

Maziwa ya kitimoto yanapatikanaje?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,339
Reaction score
38,701
Mwenye uwezo anijulishe, kuna ndugu anatesekaje na Pombe. Wamemshauri mama yake amwekee maziwa ya Kitimoto siku akiwa anakunywa. Wakamwasa atatapika sana ajiandae kwa hilo.

Mwenye Idea na hili!


 
Hahaa mpwa Nikokweneresearch usihofu niombeenimalize
 
Ggesto
Hufugi mamboyetu ngrroO
Oooo
 
AAGH! mayai ya paka.., leo maziwa ya mbuzi katoliki! aisee wewe..!
 
Hata mi nilisikia maziwa ya nguruwe ni anti~chapombe!
 
Khaaah, mi nina maziwa ya ngamia hapa nikupe?
 
Mmnhh hayoyanasaidia mini jamani tupeane info isiongeze mvItuuu
 
Kama una mechi ya 6x6 kunywa maziwa ya ngamia na juice ya tende ingia kiwanjani .utapata jibu
 
Back
Top Bottom