Haya Mambo Huwezi Kuwa Umepitia kama Umezaliwa Baada ya Mwaka 90...
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a...
IRINGA
MBUZI----1234
KUKU---678
NGOMBE+---7890
MBWA----12345
IRINGA IPO NJEMA KWENYE SWALA LA KITOEO CHA 🐕
HIII NDIYO IDADI YA VITU VILIVYOPOTEZA UHAI LEO KATIKA MKOA WA...
Msimu Huu Wa Sherehe Na Shamra Shamra Za Krismasi Na Tunapoelekea Kuukaribisha Mwaka Mpya Nataka Nianzishe Oparesheni Moja Inayojulikana Kama, "Operation Vunja Mayai Mabichi Kwa Makalio Ya...
Kumekuwa na namna nyingi ya watu kusherehekea sikukuu, wengine hunywa pombe mpaka kuzimika, wengine hutoka na familia zao na kwenda sehemu mbalimbali, wengine huenda makanisani na misikitini na...
Wana jf wote mnakaribishwa ktka part tajwa hapo juu na itafanyika kwenye fukwe moja matata kigamboni watu watalewa kwa uzito wa pochi zao.. usafiri wa kukufikisha eneo la tukio upo haijalishi...
Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia hivi pinde ni kwa kumetokea uhaba mkubwa wa bia katika mikia ya Arusha na Kilimanjaro!
Tatizo ni kubwa sana ikizingatiwa ni siku ya kwanza tuu ya...
Kama kawaida huku mitaani kwetu ni ukweli usiopingika hali ya hewa imechafuka,yaani ni harufu ya manemane,uvumba,vitunguu swaumu na viungo vyote vya pilau uvijuavyo.Ni nadra sana kusikia harufu ya...
Nyani Ngabu unamzungumzi Invisible huyu mwenye suti za foil (suti ya silver)? Leo ameamua kutoka na kaka zake kutembelea ndugu na jamaa huko kijijini. Angalia usijekufungiwa Nyani Ngabu
kuna mwanasheria mmoja alikua na watoto 12... sasa mkataba wa myumba yake ulikuwa unamalizika na mwenye nyumba alikataa kumuongezea
so akawa natafuta nyumba, kila nyumba anayopata akisema ana...
Mama aliniambia mwanangu jihadhari sana usimuone mtu mzima(alokuzidi umri sana) akiwa anakojoa, kwani utakuwa kipofu. Tukumbushane ya utotoni basi wadau, ww ulionywa nn?
Jamaa asubuhi anaenda kazini mfukoni ana jero tu.
Baada ya kugombania daladala huku wamebanana amesimama.
Ulipofika muda wa nauli jamaa akaingiza mkono
mfukoni akatoa elfu kumi, akashangaa...
Kuna mdau mmoja alikuwa na shida sana chumbani/nyumbani kwake, shida yenyewe ilikuwa ni kusumbuliwa na kunguni (Mdudu mbaya sana huyu!!:glasses-nerdy:)
Basi kaomba ushauri kwa nia nzuri tu kwa...
jaman kutokana na situation nilionayo nalazimika kuuza id yangu(username) kwa kutoa password kwa yeyote atakae panda dau... hii inahusisha na pm zote nlizotuma na kutumiwa, utaweza kuziona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.