Invisible atembelea Kijiji

Invisible atembelea Kijiji

Abdul Mohammed

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
1,331
Reaction score
860
Nyani Ngabu unamzungumzi Invisible huyu mwenye suti za foil (suti ya silver)? Leo ameamua kutoka na kaka zake kutembelea ndugu na jamaa huko kijijini. Angalia usijekufungiwa Nyani Ngabu

invisible.jpg
 
Shemeji yangu FaizaFoxy naona Invisible amekuogopa mpaka akafuta huu uzi wa Salary Slip https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/779787-faizafoxy-wa-jamiiforums-na-kikwete-wana-uhusiano-gani-7.html#post11495335

[h=2]Faizafoxy wa Jamiiforums na Kikwete wana uhusiano gani?[/h]
Huyu mwanadada/mwanamama kwakweli ananishangaza sana kwa jinsi alivyosimama kidete kumtetea JK kwa karibu kila kitu.Ni kweli anaweza kumtetea,lakini ndio kwa kiwango hiki?!

Binafsi, hata viongozi wa CHADEMA/UKAWA huwa nawaponda pale,kwa mtazamo wangu,napoona wamekosea lakini huyu mwenzetu Kikwete kwake ni "infallible"!!

Dada yangu,kama wewe ni mshauri/msaidizi wa raisi,hakika utakuwa unamuangusha na kumponza kwa mengi.

Sasa wadau, huyu member mwenzetu hapa JF ana uhusiano gani na JK?
​

https://www.jamiiforums.com/complai...ikwete-wana-uhusiano-gani-7.html#post11495335

 
Hao jamaa kama sio Wasafwa, ni Wameru au Wasukuma
 
Back
Top Bottom