Kwa waliosoma udsm tu

Kwa waliosoma udsm tu

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Je, mnawakumbuka wanaharakati hawa?
1. Rich mwita
2. Helen[ alshabib]
3. Alshabab
kama unakumbuka wengne ongeza
 
Rich Mwita, TISS attache! Sijawahi kusoma Udsm, nimeropoka tuu
 
mh mie namkumbuka david silinde.....ndiyo alitufanya tukapigwa mabomu na kupewa masaa mawili tusionekane eneo la chuo.....
 
Ivi odong odour yuko wapi huyu mganda alikuwa anapigania loan Kwa wanafunzi ili hali yeye ni mganda
 
Back
Top Bottom