Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,799
jaman kutokana na situation nilionayo nalazimika kuuza id yangu(username) kwa kutoa password kwa yeyote atakae panda dau... hii inahusisha na pm zote nlizotuma na kutumiwa, utaweza kuziona!!!
utaaweza kushuudia hot story na members wa humu pamoja na baadhi ya siri zao, why do you want to miss this!!!?
hii ni kama zawadi yangu kwa member mwenye bahati, bei ni maelewano na hamna kigezo cha gender... waweza kuwa me au ke!!!! kazi ni kwako
first come, first served!!!!