Eti ni kiungo gan?

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
Ni kiungo gan kipo peke yake katka mwil kama ni masikio yapo mawil macho mawil mata+++o yapo mawili mikono miwil lakn chenyewe kipo kimoja je nikipi
 
Inategemea ni jinsia gani una -refer. Kama ya kike ziko mbili nadhani. Hebu nisaidie niweze kulijibu vizuri.
 
Moyo,ini,kongosho,utumbo mdogo,utumbo mkubwa;kinyeleo,ulimi,mdomo,pua,nyongo,kibofu cha mkojo...................
 
Kila kitu kipo kimoja kimoja.... mf: jicho la kushoto lipo moja, t..o la kushoto lipo moja pia n.k!!!
 
Back
Top Bottom