Majibu haya yameniacha Hoi.!

Majibu haya yameniacha Hoi.!

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
407
Kuna mdau mmoja alikuwa na shida sana chumbani/nyumbani kwake, shida yenyewe ilikuwa ni kusumbuliwa na kunguni (Mdudu mbaya sana huyu!!:glasses-nerdy🙂

Basi kaomba ushauri kwa nia nzuri tu kwa wadau wake kule FB!! Majibu waliokuwa wanampa basi ni shida tupu!

Ona hapa:

Reply 1: Choma Nyumba!:boxing🙁utani mbaya huu)

reply 2: peleka gym hao wadudu (khaa!:confused2🙂

reply 3: Maombi (Dah...:sad🙂

reply 4: Tafuta mshale uuwe nayo!

reply 5: Fungua zoo! Hizo ni Mpesa!

reply 6: Mkojo wa Sungura.

reply 7: zipe weed! 🙂A S-rap🙂

reply 8: Dawa ya Kunguni ni kunguni. (Refer Dawa ya moto ni moto!:becky🙂

Mpaka hapo sijaona solution, kama ni wewe ungeshauri nini kifanyike kuua hao wadudu wasumbufu??
 
Afanye maombi ya nguvu kuwakemea hao kunguni....
 
Atoe godoro nje alifue, afanye usafi ndani wa Nguvu, kila siku jion apige dawa ya hit mpaka kwenye kitanga,
 
Back
Top Bottom