wanasheria hawasemi uongo

olele

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
1,302
1,559
kuna mwanasheria mmoja alikua na watoto 12... sasa mkataba wa myumba yake ulikuwa unamalizika na mwenye nyumba alikataa kumuongezea

so akawa natafuta nyumba, kila nyumba anayopata akisema ana watoto 12 wenye nyumba wanamkatalia kwa sababu wanajua watoto 12 wataharibu nyumba na yeye kudanganya hawezi.

siku moja aliwapeleka watoto 11 na mama yao wakatembelee makaburi, yeye na mtoto mmoja wakaenda kukutana na mwenye nyumba.. alipomuuliza jamaa ana watoto wangapi akasema 12..
akamuuliza mbona apa uko na mmoja wengine wako wapi jamaa akajibu kwa huzuni "wako na mama yao kule makaburini" jamaa akamuonea huruma akampa mkataba wa miaka 5..
 
Hahaha jamaa kacheza kama pere
 
Huyo mwanasheria lazima atakuwa ni mpare. Angekuwa mchagga angekuwa na nyumba yake asingepanga.
 
Wa karne gani huyo mwanasheria, maana ninaowajua mimi ni full kupindisha mambo.
 
Back
Top Bottom