True story!

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
456
Waziri Pinda katika ziara mikoani akatakiwa kwenda kufungua kisima cha kijiji. Alipochungulia kisimani akarudi nyuma fasta. Akaulizwa Vipi Mheshimiwa??!!!
Akauliza "Mnafuga MAMBA kisimani??
Wananchi wakasema "HAPANA" Pinda akarudi tena kuchungulia kisimani. Ghafla akacheka kumbe ilikuwa sura yake ndani ya maji!!!!!!........ Lol.
 
Du!!
 
makini inamaana unataka kusema mtoto wa mkulima hajui mamba? au unataka kumfananisha na ma.. weweeeeee teki kea ohooo!!!!!!!!
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii una hamu ya kupuuu kwenye ndooo eheeee?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom