Mu7
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,655
- 2,002
Jamaa asubuhi anaenda kazini mfukoni ana jero tu.
Baada ya kugombania daladala huku wamebanana amesimama.
Ulipofika muda wa nauli jamaa akaingiza mkono
mfukoni akatoa elfu kumi, akashangaa sana. Kwa furaha akalipa nauli na chenji akarudisha mfukoni.
Alipofika mwisho wa safari kujisachi akakuta ile ile jero. Kumbe ile hela katoa mfuko wa mwenzake na
akarudisha chenji mle mle.
Je,aliiba? au ilikua riziki yake?