Ukiingiia kwenye mitandao ya kijamii kuna baadhi ya wanawake wapost picha karibia kila baada ya dakika tano lakini katika picha hizo huji kuona amepiga picha ambayo inamuonyesha mwili mzima, muda...
yani nilikiwa nimezoea keypad za simu za kawaida,lkn now napata shida kuandika vizuri,naandika vitu visivoeleweka,nachukua muda mrefu..naona kero ,kama kula
wali kwz Stiki
Yes! Namaanisha hivi!
Sie wengine huu mwaka wa 2014 mapenzi yametufanya yao; na sie pia tumeyafanyia zetu! Ndio, ni kama ngoma droo ama hata sometimes tumezidiwa.....mara tumepiga kibuti mara...
Mambo zenu wakubwa nilikua naomba wakujulishwa sehemu inayo uzwa mbwa au kama kuna raia humu anafanya biashara hii naomba msaada au nitajiwe sehemu wanauzwa
Mtoto: tafadhali mungu naomba uepushe kusiwe na vita ya tatu ya dunia pleaseee
mungu: safi sana unaipenda sana nchi yako eee...
mtoto: hapana siko vizuri kwenye somo la historia... hizi vita...
Mchanganuo wa pesa za Escrow account katika matumizi ya bia ni kama ufuatao:
DATA
Kiasi kilichoibwa =Tsh 321 bilioni.
Gharama ya bia 1=Tsh.2500.
Idadi ya watanzania = 44 milioni.
Wastani kwa kila...
Mwaka umeisha heri kwa wale tulio na afya nje lakini wapo ambao hatuko nao wengine ni wagonjwa tuwaombee kwa Mungu awape faraja yake
Tulifunga mwaka mtandao wetu pendwa JF ukiwa katika...
Ndg wana jamvi nimekuwa napata maswali mengi hasa kwa sie tuendao bafuni na ndoo au karai ukitanguliza maji ya Moto utasema unapooza ukitanguliza baridi unapooza
Mfano huu unamaanisha wewe Una...
Wana JF wenzangu wale ambao walikoseana mwaka jana si vyema kubaki na vinyongo..katika kuukaribisha mwaka mpya....ningependa tuchukue nafasi hii kuombana misamaha kwa wale ambao unahisi...
Napenda kukupa hongera mhariri wa makorokocho katika siku yako ya kuzaliwa, lakn style yako ya mask nimeipenda sana napenda nifahamu zaid kwann unavaa hvyo
Watu WA dar kwa kudandia fursa si mchezo kwa mvua hii uone njia za kuelekea lodge an guest house zitakavyo kua na pilika pilika.
Ivi kuna uhusiano wowote WA hali ya baridi na mvua kuongeza hamu...
Ni mtandao kama facebook hivi basi jana nikaingia huko, watu wanne tu niliochat nao wamenifanya niuchukie huo mtandao
Wa kwanza alikuwa binti toka Arusha , ile kuchat nae Kidogo tu akapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.