hadithi yakusikitisha ya kichina
朣楢琴执㝧执瑩浻牡楧㩮㔱硰执㝧执獧浻牡楧...
Hodi tena humu.
Hawa wapo hai kweli. #Heaven on earth, #Lady Dokta, #Arusha one hivi yale mabasi ni yako. #Bujibuji , #Kiwatengu , #Lady furahia, #8people , #Lady masa, #Demba .
Kumbe...
Nilikuwa sijui kina nani ndo ma mods hapa jamii forums. Sasa leo nikakutana na jina linaitwa Bridger ameview profile yangu. Kucheki vizuri nikakuta ni mod. Kuna dalili za kupigwa ban nahisi ha ha...
Habari za masiku mengi wapendwa wa MMU,
Mwaka 2015 ndo huooo unajimuvusisha kila mtu na abebe mbeleko yake, asiye na mwana aeleke jiwe.Katika kuanza kupangua mipango niliyojipangia 2015 mojawapo...
Toka nije hapa duniani miaka kadhaa iliyopita pamoja na maneno maneno mengi lakini sijawahi kufika jiji la Mwanza lakini hatimae mwezi huu tarehe kumi na nane mapema sana nitakuwa Mwanza na kesho...
Yaani ukiwasikiliza hawa watoto wa Yamoto Band jinsi wanavyolalamika, inaonyesha kuna wimbi kubwa la wanawake kuwinda na kuwabana wavulana wadogo serengeti boys kwa ngono.
Dogo analalamika: mimi...
Nina mwanamke ambae mpaka sasa thamani yake inafata kwa mama mzazi, pamoja nakwamba naandika msg hii nikiwa namajonzi jinsi alivyonitenda na anavyoendelea kunitenda lakini bado nashindwa...
Kwa wale wapenzi wa Celebrity gossip,picha etc sorry hamtoniona tena kwa miezi miwili,mkiona kimya msishangae nimeamua kujikita kwenye jukwaa la biashara na ujasiriamali ili tukuze uchumi...
Kweli Avatar za sura za mabinti humu Jamii Forums ni kali mno. tungekuwa na warembo real wa hivo jamani yaani Jamii forums ingeliongoza Africa.
Sema ndo Avatar tu.
Wadau,
Kila mtu ajaribu kumvutia picha Moderator maarufu hapa jamiiforums, bwana mdogo Invisible. Tafadhali Invisible usinipige ban.
Mi nafikiri Invisible atakuwa Mweusi, mfupi, ana...
Huyu jamaa alikuwa anasoma gazeti ghafla akaacha na kuanza kumshangaa huyo binti mwenye gauni la pink
Vijana hawafanyi tena kazi now days taifa limegeuka taifa la ngono 🙈🙈🙈...
Naona haka msemo kunazidi kupata chat hapa mjini, ila kiukweli ukitaka ngumi zilike, ugomvi usiiishe, we niambie umekuwa mtaamuuu" Kwakweli hatutaelewana sababu hizo ni habari za kishoga.
Mi...
Katika hali isiyo yakutarajia nimejikuta nikileta mzozo kwenye kijiwe kimoja, baada ya kumuuliza dada mmoja wa maeneo yale kwamba ni wapi naweza pata huduma ya vocha ya Tigo. Anavyodai kwamba...
Hamad alialikwa harusini, Usafiri wake ni Baiskeli. Wakati anaikagua akakuta ina pancha, akamwambia mkewe atangulie kwa miguu yeye azibe pancha, mke akiwa njiani akaingia kichakani kukojoa...
Baba John katoka safari zake mbio mbio na kuingia ndani kwake,kamkuta mkewe kakaa mkewe akamuuliza vipi mbona leo mapema na upo na haraka hivyo.
Mume:Akajibu jiandae tuende kwenye msiba mama...
Kwenye coca cola naona kuna majina ya kishenzi tu, huwezi kuona majina ya maana kama Mwesigwa, Mutashobya, Rweyemamu, Rutashoborwa, Tibaijuka, Kazinduki, Mugashe, Rwebangira n.k.Hamna shida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.