Gazeti tupa kule, ghafla chabo ya hatari

Gazeti tupa kule, ghafla chabo ya hatari

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1423486719.487887.jpg
Huyu jamaa alikuwa anasoma gazeti ghafla akaacha na kuanza kumshangaa huyo binti mwenye gauni la pink
Vijana hawafanyi tena kazi now days taifa limegeuka taifa la ngono 🙈🙈🙈
Tia maneno hapo!
Kuja hapa Mr Rocky utafiti MO11 kabanga mshanajr na wakware wote.
 
Last edited by a moderator:
du na alianza kwa hatua...kwanza aliacha kusoma...baadaye akalifunika kabisa!
 
du na alianza kwa hatua...kwanza aliacha kusoma...baadaye akalifunika kabisa!

😂😂😂 aisee kama ulikwepo vile alienda step kwa step!
 
Hivi kumbe fasheni ya kusoma magazeti bado ipo...!!
 
Mh hv viwanda vya nguo vnakazi haya sasa.
 
Back
Top Bottom