Mimi si size yako, tafuta type yako

Mimi si size yako, tafuta type yako

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Yaani ukiwasikiliza hawa watoto wa Yamoto Band jinsi wanavyolalamika, inaonyesha kuna wimbi kubwa la wanawake kuwinda na kuwabana wavulana wadogo serengeti boys kwa ngono.

Dogo analalamika: mimi si size yako, itakupwerepweta bure, tafuta type yako, hebu niache, unataka kuniua kwa UKIMWI, ananitegemea mama nikifa kwa UKIMWI atalia sana.

Inatisha, dunia imekwisha.
 
Yaani ukiwasikiliza hawa watoto wa Yamoto band jinsi wanavyolalamika inaonyesha kuna wimbi kubwa la wanawake kuwinda na kuwabana wavulana wadogo serengeti boys kwa ngono!

Dogo analalamika: mimi si size yako, itakupwerepweta bure, tafuta type yako, hebu niache, unataka kuniua kwa ukimwi, ananitegemea mama nikifa kwa ukimwi atalia sana, ...

Duh! Inatisha, dunia imekwisha!

Inatajwa kuwa kuna bidada mmoja mwenye pepo la .n.g.o.. ambaye ni star alishaanza kunyemelea watoto hao. Wakaamua kumlipua kwa verses hizo
 
Inatajwa kuwa kuna bidada mmoja mwenye pepo la .n.g.o.. ambaye ni star alishaanza kunyemelea watoto hao. Wakaamua kumlipua kwa verses hizo

Duh! Ameipata habari yake! Wamemchana ile mbayaaa!
Nadhani itakuwa kati ya hawa wenye pepo la ngono: Wema Sepenga, Anti Eze, Shishbby...
 
Jamani wolper hana pepo wa ngono nataka kujipitisha ili anichunuku
 
BAK hebu niwekee huu wimbo niusikie maana sijausikia...
 
Last edited by a moderator:
hebu mkaushie huyu demu yatakushinda haya

Mkuu upo! Nilitaka nikuite afadhali umejileta mwenyewe! Unaweza kuweka haka kawimbo aisee! Audio au transcript!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom